MAKALA: MDALASINI NA ASALI
Asali
inafahamika vyema Duniani kote Kama mojawapo ya silaha ya kiajabu
katika kupigana na magonjwa na matatizo yatokanayo na uzee.Utafiti umeonyesha kwamba uwezo wa asali unaweza kuongezwa maradufu
kama itachanganywa na mdalasini (cinnamon) wa kawaida.
Asali
Uchunguzi wa kina ufanywao kwa wiki na jarida la World News wa Tiba, wataalamu wa madawa yatokanayo na mimea pamoja na kijarida cha afya na lishe, imeonekana kwamba kuna dazani nyingi za umuhimu wa asali na mdalasini pamoja na michanganyiko dawa ya kusisimua iletayo afya bora.
mdalasini
baadhi ya hali zinaweza kutibika kwa kutumia Asali na mdalasini:
Wataalamu
wa lishe wanapendekeza kuchua kwa kutumia mchanganyiko wa sehemu moja
ya Asali pamoja na sehemu mbili za maji vuguvugu na kijiko kimoja kidogo
chenye mdalasini - na kuchua sehemu zilizoathirika.
2.Husaidia kukatika kwa nywele
Asali ikishachanganywa na mdalasini pamoja na mafuta vuguvugu ya olive, hutoa kichocheo maridhawa cha kuotesha nywele.
3. Ukungu wa miguuni:
Changanya
kijiko kikubwa cha mezani cha asali, vijiko viwili vya mdalasini (vya
chai). Pakaa sehemu zilizoathirika usiku kwa muda wa nusu saa, kisha
safisha kwa sabuni na maji. Kwa kutumia njia hii hali ya ukungu
itakwisha kwenye kipindi cha wiki moja endapo utafuata taratibu.
4. Maambukizo kwenye kihofu cha mkojo:
Bilauri
ya maji vuguvugu yaliyochanganywa na vijiko viwili vya chai vya
mdalasini na kijiko kimoja cha chai cha asali huondoa bacteria kwenye
kibofu. Unaweza ukatumia juisi ya cranberry badala ya maji ikiwa
mambukizo ya kibofu yatakuwa sugu.
5. Husaidia maumivu ya jino:
Changanya
sehemu tano za asali, na sehemu moja ya mdalasini na tumia kwa maumivu
ya jino. Dondoshea kwenye jino au meno yaliyoathirika kisha kwa muda
hadi maumivu yatakapotoweka.
6. Husaidia vidonda vitokeavyo baada ya mgonjwa kulala kwa muda mrefu:
Saladi
ya kupaka vidonda iliyochanganywa na asali pamoja na mdalasini kwenye
chai ya raspberry nyekundu ni dawa nzuri ya kuondoa maumivu makali ya
canker sores.
7.Hutibu mafua:
Mafua
yameshaeleweka ya kwamba hupotea/huondoka baada ya masaa machache baada
ya waathirika kutumia kijiko kimoja kikubwa cha asali vuguvugu
iliyochanganywa na robo kijiko (cha chai) cha mdalasini, mchanganyiko
huu ni mahususi katika kusaidia kuondoa chafya na kuvimba koo.
8. Husaidia mchafuko wa tumbo:
Asali
imetambuliwa kwa kipindi kirefu kama dawa ifaayo kuondoa mchafuko wa
tumbo pamoja na kichefuchefu. Ongeza kiasi kidogo cha mdalasini na hii
tiba ya kimaajabu vilevile itapunguza maumivu yaletwayo na vidonda vya
tumbo. Kula asali pamoja na mdalasini huweza kuondoa mchafuko wa tumbo
na utumbo uletwao na gesi/acid kwa mujibu wa uchunguzi mahsusi
iliofanywa huko India na Japan.
9. Husaidia wenye ugonjwa wa Moyo:
Unaweza
kukinga kupata ugonjwa wa moyo na kuzuia mkusanyiko wa mtandao wa
mafuta kwenye mishipa ya damu kwa kula asali na mdalasini mara kwa
mara-kwa kupakaa wakati wa kifiingua kinywa. Kula asali ya mkate wa
ngano yenye nyuzinyuzi nyingi iliyopakwa kijiko kimoja {cha mezani} cha
mchanganyiko huo hapo juu kila siku. Tiba hii ya maajabu iliweza
kupunguza kuganda kwa mishipa ya damu kwa 74% ya wagonjwa waliokuwa
katika nyumba za kutunzia wagonjwa - utafiti mmoja ulionyesha.
10. Husaidia kwa wenye shinikizo la damu:
Shinikizo
la damu pamoja na matatizo yaambatanayo ya maumivu ya kifua na
kizunguzungu yalitoweka kutoka kwa wagonjwa wengi wiki chache tu baada
ya watafiti wa kitaliano kuwapa dozi za mara kwa mara za asali
ilyochanganywa na mdalasini. Vipimo vya shinikizo la damu vilionyesha
ukawaida na wote 137 waliofanyiwa jaribio hilo waliripoti kujisikia
vyema/vizuri baada ya wiki chache za tiba hii ya ajabu.
11. Husaidia kuongeza kinga ya mwili:
Kinga
yako ya mwili itaongezeka mara tatu zaidi ikiwa utatumia mara kwa mara
asali na mdalasini kwa pamoja - wataalamu wanasema. Utafiti wa kitiba
unaonyesha kwamba hazina kubwa ya vitamini{vivurutubisho}na madini
pamoja na michanganyiko mingine iondoayo magonjwa pamoja na kinga
itolewayo na chembechembe nyeupe za damu, husaidia kuzuia magonjwa
pamoja na kuharibu vimelea virus na bacteria.
12. Husaidia kutokuchaguliwa kwa chakula (Digestion):
Vijiko
viwili vya asali iliyonyunyiziwa mdalasini kabla ya mlo(kula chakula)
huondoa kiungulia na wataalamu wanasema kwamba asali husaidia kutolewa
kwa juisi zinazotumika kuchaguliwa kwa vyakula tumboni na mdalasini
unaongeza spidi ya kuchaguliwa kwa vyakula.
13.Husaidia kutibu Flu:
Tafiti
moja ya kihispania imethibitisha kwamba aina ya dawa moja asilia ya
ajabu ambayo huharibu virusi (vimelea) viletavyo Homa ya Flu.
14. Huongeza umri wa kuishi:
Unaweza
kuishi kufikia hadi miaka 100 na kufurahia maisha ya afya na madhubuti
kwa kunywa kila siku kikombe baridi cha chai ya mdalasini na asali.
Kutengeneza kinywaji hiki kitamu, weka vijiko vine (vikubwa) vya
mdalasini katika vikombe vitatu vya maji na koroga kwa dakika 10. kunywa
robo kikombe kutwa mara tatu au nne na hivyo utakuwa na kinywaji kingi.
15.Husaidia kupunguza chunusi:
Changanya
vijiko vitatu vya asali pamoja na kijiko kimoja cha mdalasini na pakaa
kwenye chunusi. Uwezo wa asali wa kuua bacteria utaufanya uso wako kuwa
kawaida katika muda wa wiki mbili.
16. Kuumwa na wadudu (kwa washawasha) wenye sumu
Pakaa
asali na mdalasini moja kwa moja kwenye sehemu zilizoathirika na rudia
wakati mwasho unapokuathiri. Rudia tena hadi viuvimbe vinapotoweka
kabisa.
17. Sarakani:
Utafiti
uliomalizika karibuni huko Australia na Japan, umeonyesha kuwa asali
ina uwezo mkubwa katika tiba ya mgonjwa anayetumia madawa ya kutibu
sarakani. Katika tafiti iliyofanywa kwa wagonjwa waliokuwa wanaugua kwa
kiwango kikubwa sarakani ya mifupa na tumbo, wale waliokuwa wakitumia
kila siku dozi za asali na mdalasini, walionyesha maradufu kupata nafuu
kuliko wale waliokuwa wakitumia wakitumia madawa ya sarakani pekee.
"Tuliwapa kijiko cha mdalasini na asali kutwa mara tatu kwa mwezi",anasema Dr Hiroki Owatta. "Wengine waliendelea na milo ya kawaida".
18. Husaidia kupunguza uchovu :
Sukari asilia zilizopo kwenye asali zina uwezo wa
kuongeza nishati mwilini. Zikitumika ipasavyo, sukari hizi zinaweza
kuwasaidia wazee na wengine wanaosumbuliwa na uchovu, wataalamu
wanapendekeza kuchauganya nusu kijiko cha asali katika nusu bilauri ya
maji, nyunyizia mdalasini na kunywa masaa mawili baada ya kuamka
asubuhi. "Kunywa tena saa 9 alasiri wakati nishati {nguvu}inapoanza
kushuka" anashauri Dr Milton Abbozza ambaye kazi zake kuhusu asali na
mdalasini kama kichocheo cha nishati mwilini zinatambulika kimataifa.
"katika wiki moja hii itajionyesha".
19. Kuvimba Nyayo:
Chua
asali na mdalasini vuguvugu katika {miguu} nyayo zilizoathirika baada
ya siku ndefu na kazi au baada ya mazoezi marefu. Rudia kila asubuhi
halafu nawisha nyayo kwenye maji baridi na vaa viatu.
20.Harufu mbaya kutoka mdomoni:
Waamerica
wa kusini wanasukutua kwa kutumia asali na mdalasini pamoja na vuguvugu
kila asubuhi ili kufanya harufu toka mdomoni kuwa nzuri na safi
kiasilia. Katika Asia ya kusini mashariki, watu hula kijiko cha
mdalasini na asali ili kuondoa harufu mbaya mdomoni (halitosis).
Wataalamu wanaamini kwamba uwezo wa kuua bacteria uliopo kwenye asali
ndiyo unaopigana na harufu mbaya itokayo mdomoni.
21. Kufanya usikivu uwe makini:
Dozi za kila siku za asali na mdalasini hufanya hali ya usikivu kuwa makini kama ilivyogunduliwa na Wagiriki wa zamani.
No comments:
Post a Comment