FAIDA ZA MAFUTA YA NAZI
1.Mafuta ya nazi huimarisha afya ya moyo wa mwanadamu.2.Mafuta ya nazi huimarisha afya ya ubongo wa mwanadamu na kusaidia katika kuufanya ubongo wa mwanadamu kuwa na ufanisi thabiti.
3.Mafuta ya nazi yanasaidia kuuimarisha mfumo wa mmen’genyo wa chakula katika mwili wa mwanadamu na hivyo kusaidia katika kupunguza uzito au kumuepusha mwanadamu na kuwa na uzito mubwa.
4.Mafuta ya nazi yanaimarisha mfumo wa kinga ya mwili wa mwanadamu.
5.Matumizi ya mara kwa mara ya mafuta ya nazi husaidia katika kuifanya ngozi ya mwanadamu kuwa yenye afya njema na kumfanya muhusika kuonekana kijana.
No comments:
Post a Comment