FAIDA ZA TANGO MWILINI
Tango lina virutubisho vingi na madini muhimu sana katika mwili wa binadamu. Kwa mujibu wa wataalamu wetu, miongoni mwa virutubisho na madini mengine yaliyomo, tango ni chanzo kizuri cha Kashiamu, Chuma, Phosforas, Potasiamu, Zinki, Kambalishe, Vitamini B complex, Vitamini C na Vitamin E.
Watu wengi hupuuza kula tunda hili kwasababu ya kutokuwa na sukari yoyote ktk tunda hili.Lakini tunashindwa kutambua kuwa tango linafaida nyingi saana mwili:
1.Hupunguza maumivu ya kichwa.
2.Huondoa maumivu ya viungo vya mwili.
3.Hupambana na ugonjwa wa saratani
4.Husafisha figo
5.Hupunguza uzito
6.Huweka sawa mfumo wa damu
7.Hukupatia afya nzuri ya nywele na ngozi.
8.Husaidia katika usagaji wa chakula
9.Husaidia kutibu magaonjwa ya ngozi
Unaweza kula tango kwa kukatakata kwenye kachumbari au kula kama lilivyo.
No comments:
Post a Comment