FAIDA ZA BILINGANYA MWILINI
BILINGANYA
Faida za bilinganya mwilini ni kama zifuatazo;
- INAZUIA CANCER
- INASAIDIA KUPUNGUZA UZITO MWILINI (UNENE)
- INAFANYA NGOZI KUWA NZURI NA YENYE AFYA
- INAZUIA MUHARIBIKO WA UBONGO (BRAIN DAMAGE)
- INAPUNGUZA WINGI WA MAFUTA MWILINI( CHOLESTEROL)
- INAPUNGUZA KASI YA KISUKARI( DIABETIS TYPE 2)
- MAJI YA BILINGANYA, YANASAIDIA SANA UPUNGUZA UZITO, NA PIA KATIKA KUFANYA NYWELE KUKUA VIZURI.
- FIBER
- CHLOROGENIC ACID
- VITAMIN A &BETA CAROTENE
- VITAMIN B
- FOLIATE
- VITAMIN C
- POTASSIUM
- MAGNESIUM
- CALCIUM
- PHOSPHORUS
No comments:
Post a Comment