FAIDA ZA KABICHI MWILINI
- Kabichi ina wingi wa vitamini A,calcium na pia madini ya chuma(IRON)
- Inauwezo wa kuzuia magonjwa mengi yanayoletwa na bakteria.
- inapunguza mafuta kwenye damu( kolestro)
- inapunguza sukari mwilini
- inasafisha ini
- inazuia aina zote za inflammation
- inazuia kansa ya matiti na kansa ya mapafu
- Inaleta ahueni kwa mwenye vidonda vya tumbo
- huimarisha mifupa
- hufanya ngozi kuwa nyonyoro
- kugandisha damu unapoumia
No comments:
Post a Comment